Reader Settings

“Hilo ni jambo ambalo haliwezi kutokea na unatakiwa ulisahau haraka sana”

“Una uhakika na hilo?”

“Wewe hao makomando watakusaidia nini hata ukijua namna walivyo kufa?’’

“Nataka kujua kama kuna uhusiano wowote wa raisi kuweza kumpatia ile kesi Kagimu badala ya mtangulizi wangu ambaye alimtoa kwenye nafasi yake baada ya kuchaguliwa awamu ya pili’’

“Sina majibu ya kukupa juu ya hilo’’ mkuu wa majeshi alimwangalia huyo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next