Reader Settings

Ndani ya jengo la makao makuu ya kampuni kuna maegesho maalumu.

Gari ya kifaharai iliingia kwa mlio mkubwa wa kukanyaga ndani ya magegesho hayo ikionyesha kile kinachoendelea katika moyo wa mmiliki .

Regina alitoka kwenye gari na alitembea moja kwa moja kuzifuata lift. Linda msaidizi wake alikuwaa akisubiri tayari pembeni ya mlango wa lift hizo.

“Mkurugenzi, watu wote ambao umesema niwakusanye nimewaelekeza katika …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next