Reader Settings

“Ndiyo ni yeye’’

“Aman Kilonzo alikufa miaka mitano iliyopita na kama kweli yeye ni mtu wa namna hiyo maana yake anajua kwamba yule mwandishi aliuawa pamoja na Williard Nzitu tena kwa mkono wangu. Kama alikuwa na hizi taarifa kwanini akae muda wote huo halafu tena sababu hiyo hiyo ije imrudishe miaka mitano baadae?”

“Maana yake kuna sababu nyingine zaidi ya hiyo Gabriel’’

“Siamini hilo jambo’’

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next