“Kwa huyu binti ni wazi kwamba alimbadilisha sura, swali ni kwamba ni nani ambaye wewe uliondoka naye siku ile na alikubali vipi kufanya ile kazi ya kwenda kufa kwa niaba ya mtu mwingine? Sikutegemea kwamba taifa hili lina vijana wadogo kama Sadiki ambao wana uthubutu wa kufanya kazi za hatari namna hii’’
“Mimi hilo halijanishangaza sana kwa sababu inawezekana labda alimpotezeshea yule binti kumbukumbu akawa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments