Ile tamaa ya kuendelea kuwa hai ilikata, alikiri wazi kuwa ni siku yake ilikuwa imefika ndiyo maana hata miti ambayo alihitaji kuweza kuitumia kukwepea kifo ilikuwa inateleza. Mwanaume mmoja alishuka kwenye gari akiwa amevaa suspenda ambayo iliifanya suruali imkae vyema na shati nyeupe ambayo ilinyooshwa kwa ustadi. Hatua zake zilikuwa za kikakamavu, mtu yeyote ambaye alikuwa mtaalamu wa hayo mambo kumsikia tu angejua mwanaume huyo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments