“Unamaanisha nini kusema hivyo?’’ aliuliza kwa uoga na kitete
“Kama watu wangu wameshindwa kukuua tena wakiwa wengi, inamaanisha kwamba wewe ni mhimu zaidi ya hao wote hivyo nataka nikupe nafasi uwe miongoni mwa watu wangu wa karibu’’
“Unamaaanisha unataka mimi niende Ikulu?’’
“Hahaha hahah mimi sio raisi wa taifa hili Beka’’
“Whaaaaat?’’
“Sisi tulizaliwa wawili tunafanana, mdogo wangu ndiye yupo Ikulu sio mimi, hii …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments