Reader Settings

“Ile simulizi ya kwenye soko jeusi kuhusu huyu muuaji kwamba ndiye huyu mtu?’’

“Inasemekena hivyo’’

“Na nyie mmemuamini Lwanda?’’

“Kwa nadharia ambayo ameitoa ni sahihi kabisa kwa sababu imemlenga na mzee mmoja wa zamani’’

“Unamaanisha nini?”

“Kuna mzee mmoja za zamani kidogo anaitwa Part Duke, mtu huyu taarifa zake hazipo kabisa kwenye mitandao na inaonyesha kama ni mtu ambaye hakuwahi kuwepo hapa duniani. Hata sisi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next