“Wewe mjinga, muda ambao ulishtukia hili suala ndio muda ambao ulitakiwa kwenda kumkamata moja kwa moja bila kujiuliza kwanza. Kama sio yeye unayo nafasi ya kumwachia, kama ni kweli watu kama hawa ukiwakosa wakati ambao una nafasi ya kuwapata huwa haiwi rahisi kuweza kuwapata tena’’ aliongea kwa jaziba akiwa kama mtu ambaye alipagawa ghafla, zile kwake hazikuwa taarifa nzuri ndiyo maana zilifanya ubongo uwake moto.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments