Reader Settings

Siku ambayo nilitakiwa kufa ndiyo siku ambayo mimi nilitambua kuhusu uwepo wa Mungu, nilimuomba Mungu anipe nafasi nyingine ya kuishi na kuanzia pale mimi ningekuwa mtumishi wake mwema kwenye maisha yangu yote mpaka nakufa. Jambo pekee ambalo nilimuomba MUNGU siku ile ni kuwafanya mabosi zangu waweze kunisikiliza na kunipa ruhusa ya kufanya jambo ambalo nilipanga kuwaambia na jambo lile ndilo ambalo lingenifanya mimi kuwa hai …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next