Reader Settings

Lwanda alikuwa anajiamini, damu bado ilikuwa changa hivyo hakuwa na wasiwasi kabisa na uwezo wake. Alikuwa ameshika visu viwili kwenye mkono wake ambavyo alikuwa anamfuata navyo mzee huyo wa zamani, upanga ule ulikuwa unazungushwa kwa nguvu kuelekea upande ambao alikuwepo mpaka ukamsogelea karibu na shingo yake, alijivuta na kuinamia nyuma, alizunguka kwa nguvu na kuruka juu ambapo alitaka kumkita na kisu mzee yule utosini ila …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next