Pili alikuwa ni mwanamke msafi, sehemu ambayo inajumuisha chakula watu wanahitaji usafi. Usafi wake uliendana na uzuri wake ambapo wateja wengi walikuwa wanaenda kwake kwa lengo la kumuona na kuweza kujaribu habati zao lakini hakuna ambaye aliambulia hata busu. Wanaume hawakumuona kero kwa sababu aliwakataa lakini aliwajibu vizuri kiasi kwamba walimuona kama rafiki hivyo wakazoea kuishi naye hivyo. Tatu alikuwa anauza samaki bora walio nona …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments