"Wewe ndiye mlinzi wa hii familia? haya nambie kabla sijakufanya kitu kibaya hawa watu wako wapi?" Qader alikuwa mtu wa kujiamini kupita maelezo alikuwa anauliza kwa majigambo kwa sababu alikuwa anajiamini sana linapokuja suala la mapigano, mwanaume ambaye alikuwa mbele yao hakujibu chochote alibaki anawatazama tu akawasogelea kidogo na barakoa yake.
"Unaweza ukanipa sababu ya msingi ya kuvunja na kuingia kwenye nyumba ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments