“Amekufa Debora’’ yale maneno ndiyo ambayo yalimfanya mwanamke yule kukaa chini. Alikuwa ana mengi ya kuongea na kijaan yule, aliwahi kumuahidi kwamba kama mambo yangekuja kuisha basi wangekuja kuongea ili aweze kujua yale ambayo yalitokea na sababu za msingi kwamba ni kwanini yeye alimfanyia yale yote akitaka kuyasikia kwenye mdomo wake sio yale ambayo aliyapata kwa Aron.
“Kwahiyo wewe ndiye wamekutuma uje kuniua na mimi?’’ …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments