Reader Settings

“Kwenye maisha yangu nilizoea kulala kwa masaa matatu tu hivyo kwangu ni jambo la kawaida kulala kwa muda mfupi hata isikusumbue’’

“Naweza kufahamu sababu zipi ambazo zimefanya wewe uwe tayari kuacha mambo yako na kuja kunisaidia mimi huku?’’

“Hili jambo kwa sasa halina umuhimu wowote kwako, wewe unatakiwa kuangalia kwamba upo hai basi ndilo jambo pekee ambalo ni la mhimu kwenye maisha yako’’

“Tunazungumzia maisha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next