“Nadhani hasira zinakuendesha kwa sasa ndiyo maana huwezi kunisikiliza kwa umakini. Muda huu kaka yako hana uwezo wa kukulinda wewe kwa sababu yeye ndiye mtu anatakiwa kufa ila wewe ni chambo ambaye unatumika kukamilisha hili’’
“Tumewakosea nini sisi?’’
“Zuberi Kahigwa ambaye ni raisi wa Tanzania watu wengi wanamjua kama ni mtu bora sana lakini sio kweli. Hata uchaguzi hakushinda bali aliiba na kuua watu, takribani …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments