Reader Settings

“Lakini mpaka sasa mimi sikujui hata jina lako na umesema kwamba ulikuwa unafanya kazi za hatari ambazo hazikukufunza kuwa na huruma kwenye maisha yako, naweza kuyajua haya na sababu ambazo zilikufanya usiweze kuwa na wanawake kwenye maisha yako?’’ Mwanaume yule alisimama akiwa ameshika kikombe kwente mkono wake. Alitembea hatua mbili kisha akakiachia kile kikombe mpaka kikapasuka jambo ambalo lilimshangaza Phania kwa sababu hakuelewa bwana yule …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next