“Kuhusu upande wa mama sikubahatika kuwa naye wala kulelewa na mwanamke jambo ambalo linanipotezea ule upendo wa mwanamke ndani yangu hivyo inaweza kuwa hatari kwa mwanamke ambaye mimi nitakuwa naye kwa baadae. Lakini kuhusu mpenzi wa kudumu, inatokana na asili ya kazi yangu ambayo nilikuwa naifanya, hakuna mwanamke ambaye angeweza kuishi na mwanaume anayerudi na kupotea kama umeme. Sikuwa na huruma ndani yangu hivyo nisingekuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments