“Nataka uchukue nchi hii’’
“Nilijua labda wewe ni mtu mwenye akili mpaka unafika hapa ila nadhani hata historia yako utakuwa umeipika’’
“Sipo hapa ili uniamini Ngonyani, nasema unatakiwa kuichukua nchi hii kwa sababu hawa wote akiwemo raisi wanaenda kufa”
“Hahaha hahahaah hilo jambo hata mimi mkuu wa majeshi siwezi kulifanya ila mtu mmoja kama wewe tena mwandishi unakuja kuniambia habari za kulisaliti taifa langu? Unajua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments