“Kabla ya kuendelea kufanya makosa mengine ambayo yanaweza kuyagharimu maisha yenu pia nadhani mnapaswa kuangalia vitambulisho vyangu kisha mpigieni simu mwanasheria mkuu, mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa au raisi wenu moja kwa moja na mumueleze yote yaliyo tokea hapa’’ Ile sauti yake ndiyo ambayo iliwashtua na kuwafanya wamtie pingu huku wakianza kukagua vizuri vitambulisho vyake. Walishtuka baada ya kugundua kwamba alikuwa ni mkuu wa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments