Lilionekana kuwa wazo zuri na lenye busara hivyo eneo hilo ni kweli ilijengwa kambi ya kimkakati chini ya uangalizi wake. Na wakati huo alitumia wakati huo kuweza kutengeneza watu wake wengi ndani ya jeshi la taifa na polisi kwani nao walishiriki kwenye huo mpango. Kwake haikuwa tu kuweza kukamilisha hiyo kazi bali ulikuwa ni mkakati wa kutengeneza himaya yake kwa hapo baadae. Kutokana na kazi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments