Reader Settings

CASA LAPANO VITAE HOTEL

Ni miongoni mwa hoteli maarufu sana na ya kifahari mno ndani ya jiji la BENGHAZI ambayo ilikuwa upande wa kulia wa mtaa ujulikanao kama LAPANO STREET NCDB TOWN, ilikuwa imejengwa kwa namna ya kipekee sana kila mtu angetamani kujumuika na kuwa mmoja ya watu ambao walipata bahati ya kupata japo hata usiku mmoja tu wa kuweza kulala humo ndani, hoteli …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next