“Wewe ni nani kwani?’’ swali la yule bwana lilimuwahisha safari yake, Leonardo alivuta moja ya mabisu makubwa ambayo yalikuwa umbali kadhaa kutoka ulipokuwa mkono wake akalirusha kwa yule bwana ambapo lilitoboa kwenye koromeo lake na kutokezea mpaka nyuma kisha yeye akasimama na kuanza kuzunguka.
“Mimi ni nani? Ndilo swali ambalo ameuliza huyu bwana. Anataka kunifahamu na kuweza kujua mimi ni nani nadhani alikuwa sahihi ila …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments