“Zuberi, tulimuua baba yetu mzazi kwa sababu ya haya, unataka kuniambia maisha yake hayakuwa na thamani kuliko hawa watu ambao tumekutana nao tu barabarani na hatujuani hata kiundani maisha ya huko nyuma wakati tunateseka?’’
“Na vipi kama hili litaisha vibaya?’’
“Unanijua vizuri na unaelewa siwezi kuruhusu mtu yeyote akuguse kwa gharama na namna yoyote ile’’
“Kwahiyo natakiwa kufanya nini?’’
“Kwa sasa una kazi mbili tu, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments