“Wewe umefanya kazi na Sadiki, anayajua maisha yako ndani nje na huyu alikutana na bwana huyu kabla hajafa na kumpatia siri zote, unahisi kwenye hizo siri zako na familia yako zitakuwa zimepona?’’ ile kauli ilimshtua Gabriel, ni kama kulikuwa na uhalisia kwenye ile sentensi.
“Fikiria kwa makini Gabriel, watu wa hivi mara nyingi ili aufikie mti wenye matunda ni lazima asafishe majani kwanza na miti …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments