“Wakati unaongea weka silaha yako chini kwa sababu sidhani kama upo tayari kumuona binti yako namuua mbele yako. Unaweza ukawahi kunipiga risasi moja na najua nitaishi ila mimi nitampiga binti yako kichwani na atakufa hapa hapa kwahiyo unayajua madhara ya haya mambo kama mwanaume mwenzangu’’ hakuwa na namna zaidi ya kutupa taulo pembeni, aliirushia silaha yake mbali na pale akiwa amenyoosha mikono juu.
“Nimefanya unayo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments