Reader Settings

Mwandishi huyo alikuwa amesimama wima mikono akiwa ameiweka nyuma yake, alikuwa anawaangalia mabwana hao wawili kwa umakini kabla ya kuwatamkia kwamba;

“Huyu mwanamke ni kweli kakufanyia wewe makosa makubwa jambo ambalo halinihusu. Alijihusisha na mwaaume ambaye anatakiwa kufa kwa gharama yoyote ambayo itakuja mbele lakini halikuwa kosa lake yeye, yeye alikuwa ni kiumbe dhaifu aliyewekwa katikati ya wanaume wawili wenye mabavu kumzidi hivyo aliangalia namna …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next