Ile hali ya kuzidiwa ilikata ghafla, alidata baada ya kuona kwamba ilikuwa ni kweli Gabi alikuwa amekufa kama utani. Gabi alikuwa ni mwamba zaidi yake sasa kama ndiye alikufa namna ile yeye angeponea wapi? Alidai yeye angekuwa mtu wa mwisho mwandishi kumuona kabla hajafa ila mambo yalionekana kwamba yangeenda tofauti kwa wakati huo. Alikuwa na muda mfupi wa kuamua hatima ya maisha yake mwenyewe.
Lwanda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments