“Comon Moses, sidhani hata kama wewe mwenyewe unafurahia kutumikishwa kama mbwa namna ile na watu ambao hata hawajali uwepo wetu. Mimi tayari nina jeshi langu, naweza kuandaa mpango wa kumpindua raisi wangu Uganda ikawa kwenye mkono wangu. Jeshi lenu halipo tayari kumuunga mkono raisi kwenye harakati zake vipi kama tukifanikisha hili mimi na wewe tukae na mkuu wa majeshi wa Tanzania akufanye kama raisi?’’
“Unamaanisha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments