Kulikucha asubuhi na mapema siku ilikuwa njema kwa upande wa watafutaji baada ya kuamka salama, ndani ya kampuni ya MBAYE TRANSPORTATION leo kulikuwa na pilika pilika nyingi sana, yalifanyika maandalizi nakubwa sana baada ya tarifa kufika kwamba tajiri mwenyewe na mmiliki wa hiyo kampuni angefika hapo kuweza kuangalia maendeleo ya kampuni yake hiyo kubwa ambayo ilikuwa inasambaza mafuta hususani katika nchi za magharibi mwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments