Reader Settings

“Mwandamu kwa gharama yoyote hautakiwi kupoteza muda kujutia maisha ambayo yamekwisha pita kwa sababu haijalishi utatumia muda gani kujuta bado hautaweza kuzirudisha zile nyakati za nyuma’’

“Na vipi kama ukijaribu kusahau inashindikana?’’

“Matatizo kutokea sio kosa lako lakini namna ya kudili nayo baada ya kutokea ni jukumu lako wewe kwahiyo unapaswa kuwa makini kwenye hilo. Kushindwa kuyatatua hayo matatizo yako mapema au kujifunza namna ya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next