“Kwanini unakuwa mkatili namna hii kama haukuwahi kuzaliwa na mwanamke?’’Jonas alishangazwa na swali la mwanasheria huyo, yaani yeye alikuwa anaambiwa ni mkatili kama hakuzaliwa na mwanadamu huku yeye akiwa sababu ya sheria za taifa lake kupindishwa.
“Umenishangaza kwa aina ya swali ambalo umeniuliza kiasi kwamba nilihisi labda unanitania. Mimi nimekuwa hivi kwa sababu nilitengenezwa kuwa namna hii tangu nikiwa sijitambui, nimeijua dunia kwa mara ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments