“Jenerali wa jeshi la anga la Uganda’’
“Sasa mimi inanihusu nini?’’
“Ooooh nimepata taarifa kwamba Kagimu alikuwepo Tanzania na sikuwa na hizo taarifa ila kwa bahati mbaya inasemekana ameuawa. Inashangaza kiongozi wa jeshi kuuliwa kwenye taifa lingine kirahisi namna hii, sidhani kama itatupatia sifa nzuri nje ya mipaka yetu. Huyu bwana alikuwa ni mtu wa karibu na Kato ambaye inadaiwa alikuwa kijana wake aliyekuwa akimfanyia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments