Eneo hilo lilikuwa na walinzi wa kutosha, wanaume sita walikuwa wanamsogelea alipokuwepo, hakuwa na huruma kwa hizo nyakati ila alishangaa sababu ya watu hao kutokuwa na silaha, alikuwa ni mtaalamu kwenye huo ulimwengu hivyo alitambua kwamba Leonardo alikuwa anataka kukutana naye akiwa hai. Alitaka kuwafanyia matusi watu hao ili hata wakifa waweze kujifunza kwa njia ngumu, akiwa anaendelea kuwaza alisikia hatua za mtu akija kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments