MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA SABA
★★★★★★★★★★★
Baada ya Batundui kuniondoa eneo hilo la sheli, ikawa ni kuimalizia safari kuelekea hospitali. Naelewa kulikuwa na hatari kubwa kwa hatua nilizotaka kuchukua, na kujipanga tu haikutosha. Nilipaswa kuhakikisha nafanya kila kitu kwa umakini wa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments