Mara baada ya kupita kwenye anga hilo la bahari ya barafu, hatimaye waliingia juu ya anga la bahari iliyokuwa na joto.
Wakiwa njiani, Hamza hisia zake zilikuwa katika hali ya mchanganyiko na alishindwa kujizuia kuto uliza kile ambacho alihitaji kujua—hususan suala zima la kudidimizwa na Manet kwenye bahari baada ya kupokea shambulizi.
Hamza aliamini, kama angeweza kujifunza mapigano kutoka kwa mtaalamu wa kiwango cha juu kama …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments