Reader Settings

Rehema, licha ya kwamba aliye mbele yake ni baba mkwe wake ambaye alimjua kwa miongo kadhaa, bado alikuwa hamwelewi kabisa.
Alikuwa akijiuliza: damu hiyo inayoonekana kuwa mbichi kabisa tena ya binadamu, Jemadari kaitoa wapi?

Kila alipofikiria wazo hilo, alijikuta akipatwa na mwonekano wa kupaniki. Lakini bado hakuwa na ujasiri wa kuhoji wala kuuliza jambo hilo kwa mtu yeyote, ikiwemo Musiba na wengine. Alikuwa akihofia kwamba akifanya …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next