Hamza aliishia kumwambia Regina amsubirie kwenye gari, yeye atakuja. Ingawa Regina alionekana kutotaka, aliishia tu kutingisha kichwa kukubali.
“Kuna nini, Babe Yulia?” aliuliza Hamza, aliyekuwa amesimama mbele ya mrembo huyo akiwa na tabasamu.
“Usiniambie unataka kunipa zawadi kwa kukuokoa kwa mara nyingine?” aliendelea Hamza kuongea.
Hata hivyo, Yulia alionekana kutokuwa na mood ya kufanya utani. Baada ya kusita kidogo, aliongea:
“Kuna uwezekano kama vinasaba vikifanana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments