Reader Settings

Hamza, mara baada ya kuulizwa swali lile, aliishia kupiga sigara yake, kudondosha majivu na kisha akavuta pafu la moshi na kusema:

“Nyie watu wa kampuni ya Taita, ni matajiri mno. Kwa nini msiachie hili eneo dogo kwa ajili ya watoto?” aliongea Hamza.

“Hahaha…” Bosi Ratai aliishia kucheka kiajabu na kisha akaendelea kusema:

“Sina haja hata ya kujua wewe ni nani, ila kwa ulichoongea unaonyesha kabisa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next