Haikuchukua muda mrefu. Mara baada ya Hamza kuongea na Asmuntis, alipokea simu nyingine kutoka kwa Afande Simba.
“Hamza, ulikuwa ukifikiria nini wewe? Si nilikuambia usimuue Ratai?” aliongea Afande Simba, akionekana kuwa na hasira.
“Nilishampa nafasi ya kuondoka, lakini akaleta dharau. Sidhani kama napaswa kulaumiwa,” alijibu Hamza.
Afande Simba alikuwa na hasira kiasi kwamba alijikuta akianza kucheka.
“Basi sawa kama umemuua. Ila nataka uniambie, nini kinafuata? Unataka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments