Picha ilikuwa rahisi sana kuelezea.Katika picha hiyo alionekana kijana mdogo aliyekuwa amesimama kando ya ua akiwa na tabasamu pana, akiangalia uelekeo wa kamera.
Ilikuwa ni picha ya zamani sana ambayo Hamza hakuwahi kuona, lakini kwa kuangalia sura ya kijana huyo mdogo aliitambua kama ni yeye. Kwa mwonekano wake, ilionekana wazi ilipigwa kabla ya kurudiwa na fahamu akiwa kituo cha kulelea yatima pale Morogoro.
Ikumbukwe kwamba …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments