Ni dakika kama moja tu hivi, alionekana mwanaume wa makamo alievalia mavazi ya kitamaduni ya Kihindi, mwenye mwili uliojaa afya njema licha ya umbo lake la ufupi na unene kiasi, ila alikuwa na ule mwonekano wa kitajiri.
Bwana huyo ndiye alifahamika kwa jina la Hinjuta Pandeli au bosi Pandeli, moja ya matajiri wakubwa ndani ya bara la Asia. Inasemekana ndiye tajiri mkubwa duniani ambaye alikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments