Mr Josephat alimuegemezea kwenye bega lake dokta Lamar kwa maumivu aliyokuwa nayo asingeweza kutembea pekeyake, alimpandisha mpaka kwenye gari na kuhitaji maelezo ya mtu huyo ili kuweza kufika sehemu ambayo walikuwa wanaitumia kufanyia hayo mambo yao, nje kidogo ya mji eneo ambalo lilionekana kutotumika sana ndipo maelekezo ya daktari huyo yalipo wapeleka kwenye jumba moja kuu kuu ila kubwa sana.
"Ndiyo hapa"
"Una uhakika?"
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments