MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
★★★★★★★★★★★★★★★★
Nilipotoka sehemu hiyo ya wodi baada ya kumalizana na Valentiana, nikaanza kuitafuta ile ambayo Vera alilazwa, ikiwa ni ndani ya chumba cha kibinafsi pia. Nikawa mwangalifu kuhakikisha hakuna macho yaliyonifuatilia mpaka nilipofika karibu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments