Hamza na Chinga mara baada ya kufika karibu na Zina anapofanyia kazi, waliingia kwenye moja ya mgahawa mdogo uliokuwa wazi kando na eneo hilo. Hamza aliagiza sahani mbili za wali na nyama ya kuku ya kukaanga na kuanza kula.
Wakati wakimaliza kula, ndio ilikuwa muda ambao wahudumu wa bar walikuwa wakiondoka kurudi nyumbani, huku wengine wakiondoka na wanaume kwenda kuwapa huduma.
Hamza wakiwa eneo la …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments