Mwili wa Mzee Kihara ulionekana kuzidi kupoteza rangi yake licha ya kwamba alikuwa macho.
Ilionekana kuamka kwake alitumia nguvu kubwa ya uhai wake uliobakia mwilini na kufanya mwili kuanza kukosa nuru. Jambo hilo lilifanya watu wote waliokuwa wakimwangalia kujawa zaidi na huzuni.
“Chinga… hata baada ya mimi kuondoka… usi… usirudi tena hapa kambini,” aliogea kwa shida.
“Kwanin… M-Master kwanini…”
“Endelea kufuatana na Mr. Hamza na kujifunza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments