Liam, alibaki kushanga tu na aliishia kujiuliza kwani nini kimetokea mpaka mwanamke huyo akawa katika hali hiyo au anamatatizo alibaki akijiuliza kwa muda mpaka pale alipo amua kuyapotezea mawazo hayo na Alimuliza Anti Nuru kwa sauti ya chini. Ant vipi Tatizo itakua ni nini?”
Anti Nuru alitoa tabasamu la uchungu ikionesha kabisa hakua na furaha kwa kile kilicho tokea macho yake yakionyesha hekima na utulivu. …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments