Reader Settings

Hamza muda ule mara moja tu aliweza kuhisi kabisa mlipuko wa nguvu ya kiroho uliokuwa ukitolewa na mzee huyo. Ulikuwa na nguvu kubwa kuliko msisimko wa kawaida wa nguvu za kiroho. Ni sahihi kusema, licha ya kutoa kidogo tu, nguvu zake zilikuwa na uzito mkubwa kulinganisha na wingi wake.

“Ukamilifu wa kiroho?” Hamza alijikuta akitamka maneno hayo ya uthibitisho moyoni mwake, kisha akauliza:
“Naona kweli umefikia …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next