Ndani ya eneo la milima na misitu ya Tanganyika hali ya hewa ilikuwa ya ubaridi mkali. Tokea jana, kiwingu kilichotanda eneo hilo hakikuwa kimetoweka mpaka asubuhi, na kufanya eneo lote kuwa la baridi sana.
Hata hivyo, hali hiyo ilikuwa ya kuzoeleka zaidi kwa wakazi waliokuwepo hapo, kwani ni eneo ambalo lilikuwa nyanda za juu kuliko maeneo mengine yenye usawa wa bahari.
Baadhi ya wanakijiji wa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments