"Kuna muda binadamu tunafundishwa sana kuwa wabaya kwenye haya maisha na tunakuwa hatuna namna nyingine zaidi ya kuwa hivyo kwa sababu watu wametaka, wanasema kwenye maisha tamaa na dhuluma ni vitu vibaya sana, tamaa inawafanya watu watamani kuyapata hata yale ambayo wanajua kabisa kwamba hawastahili, tamaa inawafanya wanadamu kuishi maisha mafupi mno kwa sababu ya matamanio makubwa wakati jitihada zao zinastahili vitu vidogo sana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments