Reader Settings

Ni ndege kubwa ya kijeshi ilionekana ikiingia ndani ya anga la makao makuu katika mkoa wa Dodoma.

Hakukuwa na watu wengi kwenye ndege hiyo; alikuwepo Hamza na Nyakasura. Lakini pia Regina, Mzee Mbale na Fionna walikuwepo.

Mwanzoni alijua Simba alitaka kuonana na Hamza peke yake, lakini ajabu ni kwamba Regina, Mzee Mbale na Fionna pia walikaribishwa.

Wakiwa ndani ya ndege, Fionna hakuacha kumwangalia Nyakasura kwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next